Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize abeba tuzo ya mchezaji bora wa Yanga kwa mwezi Januari 2024 (NIC Player of the Month)
Mzize ametwaa tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa Yanga akiwashinda beki Mganda Gift Fred na kinda Wilson Chigombo
Pamoja na tuzo, MZize ataondoka na kitita cha Tsh Milioni 4 kutoka kwa Wadhamini, NIC
ADVERTISE HERE