Mfadhili wa klabu ya Yanga Ghalib Said Mohammed (GSM) ni miongoni mwa Wanachama 20 wa kwanza waliolipia kadi maalum ya uanachama Black Card muda mfupi baada ya Yanga na NMB kuzindua kadi hiyo
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said, Makamu wa Rais Arafat Haji pia wamo katika orodha hiyo
Black Card inaifanya Yanga kuwa klabu ya kwanza Tanzania na Afrika mashariki na kati kuwa na mwanachama mwenye kadi yenye thamani ya Tsh 1,000,000. Yaani Yanga ndio Klabu yenye Wanachama premium zaidi Afrika Mashabiki na kati

ADVERTISE HERE