Klabu ya Yanga iko kwenye madhimisho ya miaka 89 ambapo kilele chake kitafanyika Jumapili februari 11 katika uwanja wa Sokoine kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons
Mapema leo Wananchi walitembelea katika Hospital ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya kuona wagonjwa, kutoa misaada mbalimbali na kufanya usafi








ADVERTISE HERE