Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amewataarifu Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kuwa Mdhamini/Mfadhili wa timu hiyo Ghalib Said Mohammed atashiriki katika ujenzi wa Uwanja wa Yanga
Hersi amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu kati ya uongozi wa Yanga na GSM, sasa ni rasmi GSM atashiriki katika kufanikisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Yanga

ADVERTISE HERE