CRDB adhamini Pacome Day

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
21 Feb 2024
CRDB adhamini Pacome Day

Pacome Day imezidi kuwa kubwa baada ya Bank ya CRDB kuweka fedha kudhamini tukio hilo ambalo kilele chake ni Jumamosi Februari 24 katika mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe ameipongeza CRBD kwa kuona umuhimu wa kudhamini tukio hilo ambalo ni mwendelezo wa ubunifu unaofanywa na Idara ya Habari na Mawasiliano

"Ninayo furaha kubwa kuwatangazia Wananchi kuwa Wiki ya Hamasa ya Pacome Day”imedhaminiwa na Benki Bora Tanzania ya CRDB"

"CRDB wametoa Fedha ya kutosha kudhamini 'Pacome Day’' Ilianza kwa Taasisi za ZIPPA na ZRA kwa kuidhamini BACCA DAY na sasa PACOME DAY imetupa pia mpunga Wananchi"

"Haya mambo hayatokei bahati mbaya. Ni matokeo ya Ubunifu mkubwa kutoka kwa Watendaji wa Yanga unaowaunganisha Mashabiki na Wanachama wake kwenye Hamasa Nchi nzima," alisema Kamwe

Mashabiki wa Yanga wameaswa kuendelea kununua tiketi ili kuhakikisha siku ya Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa unajaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE →
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE →