Pongezi Wananchi imewezekana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Feb 2024
Pongezi Wananchi imewezekana

Pongezi kwa wachezaji wa Yanga na benchi la ufundi kwa kumaliza kiu ya Wananchi ya muda mrefu kwa kuipeleka Yanga robo fainali ya ligi ya mabingwa

Uongozi wa Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said bila ya kuwasahau GSM na wadhamini wengine, wanastahili pongezi kwa kuiwezesha Yanga na kuifanya kuwa moja ya timu bora barani Afrika

Yanga ilisubiri miaka 25 kucheza hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa na leo imekwenda mbali zaidi kwa kutinga robo fainali

Huu ni msimu mwingine kwa Yanga kufanya makubwa baada ya kucheza fainali ya kombe la Shirikisho msimu uliopita. Kuna dalili ya fainali nyingine....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’