Muamala wa Mama ulisoma 20M

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Feb 2024
Muamala wa Mama ulisoma 20M

Baada ya kuifumua CR Belouizdad mabao 4-0 katika dimba la Benjamin Mkapa jana, klabu ya Yanga ikaondoka na kitita cha Tsh Milioni 20

Ni fedha za bonus ya Mama, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dk Samia Suluhu Hassan ambapo kila goli ni Tsh Milioni 5

Naibu Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Mh. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' aliwakabidhi Wananchi fedha hizo

Nae Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Gerson Msigwa ametangaza kuwa bonus hiyo itaongezeka kuanzia hatua ya robo fainali ambapo thamani ya kila goli ni Tsh Milioni 10

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
46m ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’