Klabu ya Yanga leo itazungumza na Wanahabari Makao Makuu ya klabu, Jangwani jijini Dar es Salaam
Baada ya kupata changamoto za kiafya zilizopelekea akimbizwe Hospitalini wakati Yanga ikitinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad, Ali Kamwe atakuwepo!
ADVERTISE HERE