Kikosi cha Yanga jioni hii kinaondoka kuelekea Misri tayari kwa mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly
Yanga inakwenda Misri ikiwa na dhamira moja tu, kuzisaka alama tatu ambazo zitawapeleka juu ya msimamo wa kundi D






ADVERTISE HERE