Matchday : Al Ahly vs Yanga, CAF CL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2024
Matchday : Al Ahly vs Yanga, CAF CL

Wananchi wako nchini Misri ambapo leo majira ya saa 12 jioni (saa 1 Tanzania) watashuka dimba la Cairo International kuumana na timu namba moja Afrika, Al Ahly

Ni mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi ambapo baada ya dakika 90 za mchezo huo, itafahamika timu itakayoongoza kundi ingawa mpaka sasa Al hly wanaongoza

Yanga inahitaji ushindi ili kuiondoa Al Ahly hapo juu wakati Ahly wao wanahitaji alama moja tu

Ni mchezo ambao hautakuwa na presha kubwa kwa sababu timu zote tayari zimetinga robo fainali

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema wataitumia mechi hii kuonyesha ubora wao na watashuka dimba la Cairo wakiwa na lengo la ushindi

Kwa mashabiki wa Yanga jijini Dar es salaam wao wataushudia mchezo huo pale Makao Makuu ya klabu, Jangwani shamra shamra zikianza saa 6 mchana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’