Baada ya mchezo dhidi ya Al Ahly, hakukuwa na muda wa kupoteza kwa Yanga kwani wameondoka Misri kurejea Tanzania kuendelea na ratiba za mechi za ligi kuu wakati wakisubiri droo ya robo fainali ya ligi ya mabingwa
March 08 Yanga itakuwa mkoani Lindi kumenyana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu raundi ya 18



ADVERTISE HERE