Yanga kamili kuifuata Namungo Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2024
Yanga kamili kuifuata Namungo Fc

Ijumaa March 08 majira ya saa 1 usiku, Yanga itakuwa Ruangwa, Lindi kunako uwanja wa Majaliwa kuikabili Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Wananchi wanatarajiwa kuondoka Dar mapema kesho Alhamisi wakiwa na silaha zao zote tayari kuwania alama tatu katika mchezo huo

Vinara hao wa ligi wanakabiliwa na ratiba ya mechi mfululizo ambapo mkakati wa Kocha Miguel Gamondi ni kuona timu yake inavuna alama tatu kutoka katika kila mchezo

Baada ya mchezo dhidi ya Namungo Fc, Yanga itarejea Dar ambapo itacheza mechi tatu katika uwanja wa Azam Complex dhidi ya Ihefu Fc, Geita Gold na Azam Fc

Kama Yanga itavuna alama zote 12 ni wazi itajiweka katika nafasi nzuri zaidi kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’