Happy BirthDay Tshishimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Apr 2018
Happy BirthDay Tshishimbi
Tarehe na mwezi kama wa leo miaka 28 iliyopita alizaliwa kiungo mahiri wa Yanga Papi Kabamba Tshishimbi.

Tshishimbi raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo alisajiliwa na Yanga mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya Mbabane Swallows.

Amekuwa muhimili mkubwa wa Yanga. Ukizungumzia mafanikio yoyote ya Yanga msimu huu lazima utaje jina la Papi Kabamba Tshishimbi.

Happy BirthDay 'mutu ya Congo', PAPY KABAMBA TSHISHIMBI.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
10h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
14h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
15h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
15h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’