Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Skudu Makudubela
Skudu amekuwa na wakati mgumu wa kuonekana dimbani mara kwa mara kutokana na ushindani uliopo
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi humtumia katika baadhi ya mechi kuwapa burudani Wananchi kutokana na kipaji chake cha kuuchezea mpira
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY SKUDU...!
ADVERTISE HERE