Vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga kesho Alhamisi, March 14 watashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili Geita Gold
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Mchezo utapigwa saa 2:15 usiku..!
ADVERTISE HERE