Mapema leo, Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars Hemed Morocco, alitangaza kikosi cha timu ya Taifa kitakachokwenda Azerbaijan kwa ajili ya michezo ya FIFA series 2024
Nyota watano wa Yanga wameitwa katika kikosi hicho ambao ni Aboutwalib Mshery, Ibrahim Hamad, Bakari Mwamnyeto, Mudathir Yahya na Clement Mzize
ADVERTISE HERE