Mudathir abeba tuzo ya NIC February

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Mar 2024
Mudathir abeba tuzo ya NIC February

Kiungo Mudathir Yahya ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa Yanga kwa mwezi February 2024 (NIC Player of the Month February)

Mudathir ametwaa tuzo hiyo akiwashinda Pacome Zouzoua na Nickson Kibabage

Unaweza kusema ni tuzo ambayo alikuwa akisubiri kutangazwa tu kwani mwezi February alibeba Yanga kwa kuihakikishia alama tatu katika mechi ambazo matokeo yake yalipatikana katika dakika za lala salama

Mudathir atapokea tuzo kutoka kwa wadhamini NIC pamoja na kitita cha Tsh Milioni 4

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’