Aziz Ki kuendeleza rekodi dhidi ya Geita Gold?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Mar 2024
Aziz Ki kuendeleza rekodi dhidi ya Geita Gold?

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki leo atakuwa na nafasi nyingine ya kudhihirisha ubora wake katika mchezo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa uwanja wa Azam Complex

Aziz Ki ndiye kinara wa kuzifumania nyavu katika ligi msimu huu akifunga mabao 12 sawa na Feisal Salum wa Azam Fc

Aziz Ki pia amehusika katika mabao mengi zaidi akiwa ametoa assist saba sawa na Yao Kouassi wakiwa nyuma ya Kipre Jr wa Azam Fc mwenye assist nane

Katika mchezo uliopita dhidi ya Ihefu Fc, Aziz Ki aliweka rekodi ya kutoa hat-trik ya assist huku akifunga bao moja katika mchezo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 5-0

Geita Gold walionja adhabu ya Aziz Ki katika mchezo wa duru ya kwanza akifunga moja ya mabao yaliyoipatia Yanga ushindi wa mabao 3-0

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’