Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limethibitisha tarehe na muda wa mechi za robo fainali ligi ya mbingwa brani Afrika ambapo mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga wao watacheza Jumamosi, March 30
Mchezo unatarajiwa kupigwa kuanzia saa 3 usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Kabla ya mchezo wa Yanga, siku ya Ijumaa, March 29 Simba itaumana na Al Ahly katika muda huohuo

ADVERTISE HERE