Yanga vs Mamelodi, mchuano umeanzia timu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2024
Yanga vs Mamelodi, mchuano umeanzia timu za Taifa

Yanga na Mamelodi Sundowns zitaumana katika mchezo wa kukata na shoka, robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Mchezo wa mkondo wa kwanza utapigwa March 30 uwanja wa Benjamin Mkapa na marudiano kupigwa wiki moja baadae huko Afrika Kusini

Leo Yanga ina mechi ya ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambapo baada ya mechi hiyo itaanza maandalizi ya kuikabili Mamelodi

Kutakuwa na siku 10 za mapumziko ya kalenda ya FIFA ambapo timu za Taifa zitakuwa viwanjani katika kipindi hiki

Mchuano wa Yanga na Mamelodi umeanzia timu za Taifa kwa idadi ya wachezaji ambao kila timu imetoa kufanana. Yanga na Mamelodi kila moja imetoa wachezaji nane katika timu za Taifa

Nyota wa Yanga walioitwa timu za Taifa ni Djigui Diarra, Stephane Aziz Ki, Kennedy Musonda na Aboutwalib Mshery

Wengine ni Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize

Kwa Mamelodi Sundowns walioitwa timu za Taifa ni Ronwel Williams, Themba Zwane, Thapeplo Morena na Toboho Mokoena

Wengine hi Grant Kekana, Aubrey Modiba, Mothobi Mvala na Peter Shalulile

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’