Tutarejea tukiwa imara zaidi - Pacome

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2024
Tutarejea tukiwa imara zaidi - Pacome

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua amewaomba radhi Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kufuatia kupoteza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jana

Pacome ambaye alishindwa kumaliza mchezo huo baada ya kupata majeraha katika dakika ya 30, alisema haikuwa dhamira yao kupoteza mchezo huo lakini anatambua ndio matokeo ya mpira wa miguu

"Tunawaomba radhi mashabiki wetu baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Azam Fc. Hii ndio radha inayofanya mpira wa miguu kuvutia"

"Tulishinda mechi iliyopita lakini mechi hii tumepoteza. Tutarejea tukiwa imara zaidi ili kupigania ubingwa," alisema Pacome

Kesho Jumanne, uongozi wa Yanga utatoa taarifa ya uchunguzi wa kitabibu kuhusu majeraha aliyopata pamoja na beki wa kulia Yao Kouassi

Yanga imerejea Avic Town kuanza maandalizi ya mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaopigwa Jumamosi March 30

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’