Nyota wa Yanga kikosi cha Stars kurejea mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Mar 2024
Nyota wa Yanga kikosi cha Stars kurejea mapema

Baada ya maoni ya wadau kuhusu wachezaji wa klabu za Yanga na Simba waliojumuishwa katika timu ya Taifa na wakati huohuo timu zao zikikabiliwa na mechi za robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litawaruhusu baadhi ya wachezaji hao kurejea nchini kuungana na timu zao bada ya mechi itakayopigwa March 22

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Clifford Mario Ndimbo amesema baadhi ya wachezaji wataruhusiwa kurejea nchini baada ya mechi moja kati ya mbili ambazo Tanzania itacheza huko Azerbaijan

"Wapo wachezaji wa Simba na Yanga watakaorudi baada ya mechi moja wapo baadhi yao watakabaki kwa ajili ya mchezo mwingine," alisema Ndimbo

Yanga ina wachezaji watano katika kikosi cha Stars kilichopata nafasi ya kushiriki Mashindano ya FIFA Series 2024

Wachezaji hao ni Aboutwalib Mshery, Bakari Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Mudathir Yahya na Clement Mzize

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’