Mawindo ya Mamelodi yameanza Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Mar 2024
Mawindo ya Mamelodi yameanza Avic Town

Baada ya mapumziko ya siku mbili, kikosi cha Yanga jana kilirejea mazoezini Avic Town kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns

Wananchi wana siku 10 za kujiandaa kabla ya mchezo wa mkondo wa kwanza utakaopigwa March 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni mchezo ambao Yanga itahitaji kushinda ili kuwa na matumaini ya kusonga mbele hatua ya nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’