Kiungo mshambuliaji wa Yanga Pacome Zouzoua amejiunga na timu ya Taifa ya Ivory Coast inayojiandaa na mechi za Kimataifa za kirafiki dhidi ya Benin na Uruguay
Pacome ameshiriki mazoezi na wachezaji wenzake hii ikiwa dalili njema kuwa huenda atakaporejea atakuwa 'fit' kuikabili Mamelodi Sundowns katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya ligi ya mabingwa utakaopigwa March 30



ADVERTISE HERE