Aucho anaitaka Mamelodi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2024
Aucho anaitaka Mamelodi

Afya ya kiungo wa Yanga Khalid Aucho imeendelea kuimarika na kuna uwezekano mkubwa atauwahi mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ambapo mchezo wa mkondo wa kwanza utapigwa Jumamosi, March 30

Baada ya kukamilisha awamu ya kwanza ya matibabu yake, wiki hii Aucho alianza mazoezi ya Gym, ikiwa ni program maalum kabla ya kuruhusiwa kuanza mazoezi ya uwanjani

Kimsingi Aucho anaonekana yuko tayari kurejea katika majukumu yake

Ni baada ya kuweka juhudi kubwa kuhakikisha anarejea uwanjani mapema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’