Karia akabidhiwa jezi ya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Mar 2024
Karia akabidhiwa jezi ya Yanga

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia na Makamu wa Rais wa Shirikisho hilo Athumani Nyamlani leo wamekabidhiwa jezi za Yanga kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns

Viongozi waandamizi wa TFF wakiongozwa na Rais Karia, wataushuhudia mchezo huo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa March 30 wakiwa jukwaani sambamba na viongozi wa Yanga wakivalia uzi wa Yanga

Ni sehemu ya kuonyesha uzalendo na kuziunga mkono klabu za Yanga na Simba ambazo zitacheza mechi za robo fainali ligi ya mabingwa

Ni mara ya kwanza kwa Yanga na Simba zote kutinga robo fainali na kuifanya Tanzania kuwa nchi pekee iliyoingiza timu mbili katika robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’