Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ni fundi wa 'mind-games', leo kawavurugia Mamelodi Sundowns mikakati yao kuelekea mchezo dhidi ya Yanga
Alichofanya ni kuwaondoa baadhi ya nyota wake muhimu katika mchezo huo akidai ni majeruhi na hawatakuwa sehemu ya mchezo
Hata hivyo vifaa viko Avic Town vikikamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo











ADVERTISE HERE