Kikosi cha Yanga kimewasili salama Afrika Kusini tayari kwa mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaopigwa Ijumaa, April 05
Baada ya kutua Johanesburg, Yanga imeunganisha safari kuelekea jiji la Pretoria ambako ndiko mchezo huo utapigwa







ADVERTISE HERE