Katika timu nane ambazo mwishoni mwa wiki hii zinahitimisha mechi za robo fainali ligi ya mabingwa barani Afrika, Yanga ni miongoni mwa wanaopewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa
Al Ahly na Mamelodi zinapewa nafasi za juu zaidi wakati Yanga inafuatia nyuma ya timu hizo
Esperance, TP Mazembe, Petro Atletico na Asec zinafuatia wakati Simba ikipewa nafasi ndogo zaidi

ADVERTISE HERE