Tawi la Yanga lazinduliwa Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Apr 2024
Tawi la Yanga lazinduliwa Afrika Kusini

Yanga imeendelea kujiimarisha kila pembe ya dunia ambapo leo Rais wa klabu hiyo Injinia Hersi Said alizindua Tawi la Wanachama wa klabu ya Yanga Afrika Kusini

Akizungumza katika hafla hiyo ya uzinduzi, Hersi aliwapongeza Wananchi wa Afrika Kusini kwa kuunda tawi hilo ambalo sasa ni miongoni mwa Matawi ya Yanga yanayotambulika nje ya nchi

Hersi amesema Yanga ndio klabu yenye Matawi mengi zaidi nje ya nchi na faraja kwao kuona mwitikio wa Wanayanga waishio nje ya nchi kusajili Matawi

"Nichukue nafasi hii kuwashukuru na kuwapongeza sana mashabiki wa Yanga hapa Afrika Kusini. Niweke rekodi sawa, sisi tuna matawi lukuki nje ya mipaka ya Tanzania. Kwa Mfano kule Marekani tunalo tawi la uanachama"

"Tunasisitiza mashabiki wetu nje ya Tanzania kutumia fursa hii ya kufungua account ya Tanzanite ya CRDB. Account hiyo haina makato, unapata bima ya Tsh 15m ukipata msiba, na faida lukuki. CRDB ni benki ambayo imewasogelewa kwa ukaribu sana Wanachama wetu wa diΓ‘spora," alisema Hersi

Baada ya uzinduzi Hersi aliwakabidhi Wanachama kadi zao za Uanachama

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’