Majira ya saa 3 usiku Yanga itashuka uwanja wa Loftus huko Afrika Kusini kumenyana na Mamelodi Sundowns katika mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi ameanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE