Yanga imewasili salama mkoani Dodoma kuwakabili wenyeji wao Dodoma Jiji katika mchezo wa kombe la FA (CRDB BFC) utakaopigwa Jumatano, April 10 katika uwanja wa Jamhuri
Yanga imetua Dodoma ikiwa na kikosi chake kamili tayari kuwapa furaha Wananchi wa kanda ya kati







ADVERTISE HERE