Kuzishuhudia Dodoma Jiji vs Yanga ni buku tano tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Apr 2024
Kuzishuhudia Dodoma Jiji vs Yanga ni buku tano tu

Wananchi wa mkoa wa Dodoma na maeneo ya jirani kesho Jumatano watapata burudani pale mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga watakaposhuka uwanja wa Jamhuri kumenyana na Dodoma Jiji katika mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRBD

Dodoma Jiji wametangaza viingilio vya mchezo huo ambapo majukwaa ya Mzunguuko ni Tsh 5,000/-  VIP A Tsh 20,000/- na VIP B ni Tsh 10,000/-

Huu utakuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga tangu warejee kutoka Afrika Kusini kuumana na Mamelodi Sundowns katika mchezo wa kuwania tiketi ya kutinga nusu fainali ya CAF CL

Kikosi cha kocha Miguel Gamondi kiliwasili mkoani Dodoma Jiji na leo kitafanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Jamhuri tayari kwa mchezo huo utakaopigwa saa 2 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’