Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa kombe la FA dhidi ya Dodoma Jiji
Yanga imefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Jamhuri ambao utatumika katika mchezo huo utakaopigwa Jumatano, saa 2 usiku








ADVERTISE HERE