Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji hapo jana na kutinga robo fainali ya kombe la Shirikisho la CRDB, kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dodoma kurejea Dar
April 14 Yanga inakabiliwa na mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya Singida FG utakaopigwa uwanja wa CCM Kirumba





ADVERTISE HERE