Matchday : Singida FG vs Yanga, NBC PL, April 14

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2024
Matchday : Singida FG vs Yanga, NBC PL, April 14

Vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga leo wako mkoani Mwanza ambapo saa 10 jioni watashuka uwanja wa CCM Kirumba kumenyana na Singida FG

Ni mechi ya mzunguuko wa 21 kwa Yanga inayosaka matokeo ya ushindi ili kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi

Hizi ni mechi za lala salama,  baada ya mchezo huo zitasalia mechi 9 kuhitimisha msimu

Kama vijana wa Miguel Gamondi watashinda wataongoza ligi kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili na alama tisa dhidi ya watani zao Simba wanaoshika nafasi ya tatu

Mchezo unaofuata baada leo ni dhidi ya Simba, hivyo kama watapata alama tatu leo, mchezo unaofuata ni wa kuweka salama hesabu za ubingwa

Katika mchezo huo, Yanga itaendelea kumkosa kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua wakati Yao Kouassi anaweza kurejea

Gamondi alisema Yao yuko tayari lakini Pacome bado kidogo pengine Wananchi watamshuhudia katika mchezo unaofuata dhidi ya Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’