FT : Singida FG 0-3 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Apr 2024
FT : Singida FG 0-3 Yanga

Wananchi wanabeba alama zote tatu na mabao matatu katika uwanja wa CCM Kirumba wakiifumua Singida FG mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Joseph Guede leo amefungua rasmi akaunti ya mabao katika ligi kuu ya NBC, akiweka kambani mabao mawili huku Stephane Aziz Ki nae akirudi kileleni katika mbio za ufungaji bora akifunga bao la 14

Akiwa katika kiwango bora Clement Mzize leo alihusika katika mabao mawili akitoa pasi za mwisho kwa Aziz Ki na Guede

Ni ushindi ambao unaifanya Yanga izidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 55

Kituo kinachofuata sasa ni dhidi ya Simba, April 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Hawaogopi kweli.....?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’