Kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa April 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, klabu ya Yanga leo itazungumza na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika saa 6 mchana Serena Hotel, jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE