Diarra anaitaka nafasi yake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Apr 2024
Diarra anaitaka nafasi yake

Mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra amefikisha 'cleansheet' 9 zinazomfanya akaribie kumfikia mlinda lango wa Coastal Union Vumiley Matampi mwenye 'cleansheet' 10

Kama Diarra hataruhusu goli katika mchezo unaofuata dhidi ya Simba, atafikisha cleansheet 10 na kuwa sawa na Matampi

Ikumbukwe mlinda lango huyo bora wa ligi kuu ya NBC kwa misimu miwili mfululizo alikosa takribani mechi tano za ligi kutokana na majukumu ya timu ya Taifa ya Mali katika michuano ya Afcon 2023

Diarra anaweza kushinda tuzo hiyo kwa msimu wa tatu mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
23h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’