Leo shangwe la hamasa kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba lilivuka bahari na kuelekea Kigamboni
Wananchi wa Kigamboni wamehamasika na tayari kwa mtanange wa derby ya Kariakoo utakaopigwa Jumamosi, April 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Mwananchi hakikisha umekata tiketi yako mapema kwani hupaswi kukosa burudani ya soka uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi










ADVERTISE HERE