Bodi ya Ligi imemtangaza Mwamuzi wa Kimataifa mwenye beji ya FIFA Ahmed Arajiga atakuwa Mwamuzi wa kati katika mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa Jumamosi, April 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Arajiga atasaidiwa na Waamuzi wasaidizi Mohammed Mkono na Kassim Mpanga huku mwamuzi wa akiba ni Tatu Malogo

ADVERTISE HERE