Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga uliokuwa upigwe leo katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo umeahirishwa
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam zimepelekea uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo kujaa maji na kupelekea mechi hiyo kuahirishwa baada ya majadiliano kati ya timu husika pamoja na Kamishna wa mchezo huo, Kamwanga Tambwe
Kwa kuwa mchezo huo haukuchezwa kabisa basi unaweza kupangiwa tarehe nyingine
ADVERTISE HERE