Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga ambao uliahirishwa jana baada ya uwanja wa Isamuhyo kujaa maji, sasa utachezwa leo Jumatano, April 24
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Bodi, mchezo huo utapigwa saa 10 jioni

ADVERTISE HERE