Bado hesabu za ubingwa ziko salama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Apr 2024
Bado hesabu za ubingwa ziko salama

Baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya JKT Tanzania leo, Yanga imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikifikisha alama 59

Ni alama tano mbele ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili huku Yanga wakiwa na mchezo mmoja wa kiporo

Bado hesabu za Wananchi katika mbio za ubingwa ziko salama kwani kuna mechi saba za kukamilisha malengo

Katika mechi saba zilizosalia, mechi tatu ni ugenini na mechi nne ni nyumbani

Kwa maana kuna mechi nne zitapigwa uwanja wa Azam Complex, dimba ambalo kila timu inaogopa kukutana na Wananchi

Ndani ya mechi saba zilizobaki, Yanga inahitaji alama 14 tu kujihakikishia ubingwa wa tatu mfululizo

Mchezo unaofuata utapigwa uwanja wa Azam Complex, siku ya Jumamosi dhidi ya Coastal Union

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
33m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
58m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’