Yanga Princess yaendeleza uteja kwa Simba Queens

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2024
Yanga Princess yaendeleza uteja kwa Simba Queens

Yanga Princess imeshindwa kulinda heshima ya kaka zao, leo ikikubali kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba Queens katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake

Unaweza kusema bado Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Haji ambaye alichukua jukumu la kuiboresha timu hii, ana kazi ya kufanya pale msimu huu utakapomalizika

Huu ni msimu wa tatu Yanga Princess imeshindwa kuonyesha ushindani katika ligi kuu ya Wanawake

Ni rahisi pia kusema tangu kuondoka kwa aliyekuwa kocha wa kwanza Edna Lema, ni kama Yanga Princess imepoteza mwelekeo

Msimu huu imepoteza mechi zote mbili dhidi ya Simba Queens ikichapwa mabao 3-1 katika kila mchezo

Yanga Princess wamefungwa na Simba Queens jumla ya mabao 6-2

Hii timu bado inahitaji maboresho makubwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
8h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
20h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’