Yanga vs Coastal Union ni Jumamosi saa 12 jioni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Apr 2024
Yanga vs Coastal Union ni Jumamosi saa 12 jioni

Kesho Jumamosi, April 27 2024 vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga watakuwa tena uwanjani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa raundi ya 24. Mchezo huo utapigwa kuanzia saa 12 jioni

Ni mechi muhimu kwa Yanga kuzisaka alama zote tatu ili kuusogelea ubingwa wa 30

Zimebaki mechi 7 msimu kufika tamati, mechi nne zitapigwa uwanja wa Azam Complex wakati mechi tatu zikipigwa ugenini

Baada ya mechi dhidi ya Coastal Union mechi nyingine zitakazokuwa zimebaki nyumbani ni dhidi ya Kagera Sugar, Tabora United na Tanzania Prisons wakati mechi tatu za ugenini ni dhidi ya Mashujaa Fc, Mtibwa Sugar na Dodoma Jiji

Yanga inahitaji angalau alama 14 kujihakikishia ubingwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’