Majeraha changamoto kwa Lomalisa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2024
Majeraha changamoto kwa Lomalisa

Mlinzi wa kushoto wa Yanga Joyce Lomalisa ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu

Bado uongozi wa Yanga haujafungua mazungumzo ya kuhuisha mkataba wake na haitakuwa ajabu, wanaweza kumruhusu aende kutafuta changamoto sehemu nyingine

Msimu wake wa pili na Yanga umeandamwa na changamoto za majeraha ya mara kwa mara na hivyo kumfanya akose mechi nyingi

Imekuwa nadra kwa Lomalisa kucheza angalau mechi tatu mfululizo. Mara ya mwisho alionekana katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao alicheza kwa dakika 12 pekee

Ni majeraha hayo yaliyopelekea ufanisi wake msimu huu usionekane akitoa assist moja tu kwenye ligi

Yanga huenda ikalazimika kusajili beki mwingine wa kushoto huku wakimpa mkataba wa muda mrefu Nickson Kibabage ambaye mkataba wake wa mkopo unamalizika mwishoni mwa msimu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’