Uongozi wa Bongo FM leo umemkabidhi tuzo Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) Eng.Hersi Said kwa kutambua mchango wake wa maendeleo ya Soka nchini na miongoni mwa Viongozi vijana wenye ushawishi kwenye Jamii yetu hususani katika sekta ya michezo
Mapema leo Hersi alipata mwaliko wa kutembelea Bongo Fm na kufanya mahojiano na redio hiyo iliyozinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE