Nusu fainali FA ni Ihefu Fc vs Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 May 2024
Nusu fainali FA ni Ihefu Fc vs Yanga

Yanga itachuana na Ihefu Fc katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CRDB Bank, Mchezo huo unatarajiwa kupigwa May 17/18 katika uwanja ambao utapangwa na TFF

Wananchi walitinga nusu fainali baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United huku Ihefu Fc wakitinga hatua hiyo kwa kuiondoa Mashujaa Fc kwa changamoto ya mikwaju ya penati. Mchezo mwingine wa nusu fainali utazikutanisha Coastal Union na Azam Fc

Coastal Union waliiondosha Geita Gold kwa ushindi wa bo 1-0 huku Azam Fc wakiichapa Namungo Fc mabao 4-1

Kama Yanga itatinga fainali basi katika hatua hiyo itachuana na Coastal au Azam Fc timu ambazo zote zilifungwa na Yanga katika fainali mbili zilizopita

Msimu wa 2021/22 Yanga ilitwaa taji la FA kwa ushindi wa mikwaju ya penati 4-1 baada ya matokeo ya sare ya mabao 3-3 dhidi ya Coastal Union 

Na msimu uliopita Wananchi wakabeba tena taji hilo kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’