Hersi na Katumbi kuna jambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 May 2024
Hersi na Katumbi kuna jambo

Wakati Yanga ikichukua alama tatu dhidi ya Mashujaa Fc mkoani Kigoma, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alikosekana katika mchezo huo

Imezoeleka Hersi husafiri na timu kila mahali lakini leo ni Makamu wa Rais Arafat Haji na Mtendaji Mkuu Andre Mtine waliokuwepo uwanjani

Arafat akadokeza kuwa Hersi alikuwa eneo jirani na hapo Kigoma akikamilisha kazi maalum

Imefahamika Injinia Hersi alikuwa DR Congo kunako klabu ya TP Mazembe ambapo pamoja na mambo mengine, alifanya mazungumzo na mmiliki wa TP Mazembe, Moise Katumbi

Taarifa za ndaaaani, zimedokeza kuna mtu amefuatwa hapo TP Mazembe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’